We Are Biashara Classic, We Are Best.

Tunasaidia wafanya biashara wadogo na wakubwa kutangaza biashara zao mitandaoni. Tunatoa elimu ya kutangaza bidhaa mtandaoni. Pia tunawasaidia wafanya biashara kutengeneza page za biashara, YouTube channel, blogs na Whatsapp shop Ili kukuza biashara zao

BLOG YA BIASHARA

Tunatoa huduma ya kutengeneza blog za biashara na pia tunatoa mafunzo jinsi ya kuuza bidhaa zako kwenye blog yako Ili kufikia wateja wengi saana mtandaoni. Karibu 🚀

YOUTUBE CHANNEL

Tunatoa huduma ya kufungua YouTube channel na kutoa mafunzo jinsi ya kutangaza bidhaa zako kwa kutumiaa YouTube channel yako. Karibu 🚀

DUKA LA WHATSAPP

Tunatoa huduma ya kutengeneza Duka la Whatsapp na kutoa mafunzo jinsi ya kuuza bidhaa zako Whatsapp. Karibu 🚀

DUKA LA MTANDAONI (E-COMMERCE STORE)

Tunatoa huduma ya kutengeneza Duka la mtandaoni pia tunatoa mafunzo jinsi ya kuuza bidhaa zako mtandaoni. Karibu 🚀

Recent Blog Posts

Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text.

Aina Za Biashara - Chagua inayo kufaa
Biashara 10 Bora zenye Faida Kubwa
Biashara ya mtaji mdogo: Faida kubwa
Jinsi ya kuuza bidhaa Facebook tsh 100,000 kwa siku

WATAALAMU WETU

Timu yetu Ina ujuzi wa kutosha kuhakikisha unapata huduma ya uhakika na yenye viwango

Sabas Ephraim

Sabas Ephraim

Web Designer
Paul Malingumu

Paul Malingumu

Marketing expert
Jesca Edwards

Jesca Edwards

Virtual assistant