Nimefanya biashara mbali mbali za mtaji mdogo na kupata faida kubwa saana. Biashara ya mtaji mdogo ni biashara ambayo unaweza kuianza kwa mtaji mdogo kama elfu hamsini au laki moja.
Katika makala hii, tutajifunza biashara 5 za mtaji mdogo na jinsi ya kutangaza bidhaa zako.
Zifuatazo ni baadhi ya biashara ya mtaji mdogo:
1. Biashara ya ice cream
Biashara ya ice cream ni biashara inayohusisha kuandaa na kuuza ice cream. Biashara hii Ina faida kubwa saana. Ukituma 1000 unaweza kupata 15000.
Ili kuanza biashara hii, unahitaji friji, ya bei ndogo, makopo ya kugandishia, na mahitaji mengine yanayohitajika kuandaa ice cream.
Kupata wateja wengi, hakikisha unatangaza bidhaa zako katika mitandao ya kijamii, YouTube na blog.
2. Udalali
Moja kati ya biashara ya mtaji mdogo ni udalali. Dalali ni mtu anaenganisha muuzajinna mnunuaji wa kitu. Unaweza kua dalali wa nyumba, dalali wa mazao, dalali za mashamba na dalali wa kuuza bidhaa.
Kwa mfano, ukiwa ukiwa dalali wa nyumba, utalipwa bei ya mwezi mmoja kwa Kila mteja utakae mpata. Kwa mfano bei ya chumba ikiwa tsh.50000, utalipwa 50,000 kwa Kila mteja atakaehitaji chumba.
Pia udalali wa kuuza na kununua nyumba, anapata pesa zaidi. Angalia udalali unaokufaa na uanze kufanya kazi kama dalali.
Kupata wateja wengi, anzisha blog au YouTube channel kuonyesha nyumba, mashamba, au bidhaa Zinazouzwa na mahali zinapoptaoka. Watu wanaohitaji nyumba, chumba au mashamba, watakufata na kununua au kupanga.
Kwa kutumia blog na YouTube channel, utapata wateja wengi saana na kupata pesa isivyo kawaida.
Kupata blog na YouTube channel, wasiliana nasi tutakusaidia kufungua ndani ya wiki moja tu.
3. YouTube channel
Moja kati ya biashara ya mtaji mdogo ni biashara ya mtandaoni. YouTube channel ni moja kati ya biashara ambayo itakupatia pesa kwa kutengeneza video.
Katika mtandao huu wa YouTube unaweza kupata pesa kwa kuweka matangazo kwenye video zako. Mtu anapo angalia video zako, atakutana na matangazo ambayo ndio chanzo kikuu Cha kupata pesa katika channel yako.
Ili kuwekewa matangazo katika YouTube channel yako, unahitaji kupata 1000 subscribe na masaa 4000 ya kuangalia video zako.
Kwa kutumia YouTube channel, unaweza kupata pesa kwa kuuza bidhaa zako na kuuza affiliate products. Kwa kutumia YouTube channel, utapata wateja wengi saana kwa kuwaomba watu wakufuate kupata bidhaa zako.
Unahitaji YouTube channel inayotoa mafunzo yanayohusiana na bidhaa zako. Kama unauza bidhaa za urembo, andaa video kuhusu urembo. Waambie watu unauza bidhaa za urembo, watu wengi wanaohitaji bidhaa za urembo, watakufata na Kununua bidhaa zako.
Tunatoa huduma ya kutengeneza YouTube channel kwa Bei nafuu kabisa.
Pia tunatoa huduma nyingi saana kama kutengeneza Duka la Whatsapp, YouTube channel, blog, page za biashara na huduma zote za mtandaoni. Angalia huduma zetu
4. Biashara ya blog
Blog ni moja kati ya biashara ya mtaji mdogo kwa kua unahitaji kununua Domain tu. Domain ni anuani ya website Yako kama www.example.com. Ukinunua Domain Yako, unaanza kuandika post kuhusu madam Fulani unazoweza. Kwa mfano hii unayosoma ni blog yangu, nawewe unahitaji kuwa na blog kama hii Ili kupata pesa online.
Unaweza kutumia blog kutangaza bidhaa zako na kuweza kupata wateja wengi saana.
Kwa mfano, kama unauza bidhaa za urembo, unahitaji kufungua blog inayohusisha mambo ya urembo. Na kuwahamasisha watu kununua bidhaa zako.
Kwa kutumiaa blog, utaweza kupata watu wengi kusoma blog Yako, na watu wengi watakufata kuhitaji bidhaa zako. Na hivyo ndio utapata wateja wengi na kupata faida kubwa saana katika biashara Yako.
Tunatoa huduma ya kutengeneza blog na kutoa mafunzo jinsi ya kutangaza biashara yako kwa kutumia blog Yako.
5. Kuuza bidhaa za mtandaoni
Bidhaa kama vitabu vya mtandaoni, kuuza course na kuuza picha mtandaoni, ni kati ya biashara ya mtaji mdogo saana.
Kuanzisha biashara hii unahitaji kutengeneza Duka la mtandaoni ambalo utauza vitabu ulivyo andika au ulivyovipata mtandaoni.
Unaweza kuandika vitabu vya historia na kuanza kuuza katika Duka lako la mtandaoni.
Uzuri wa bidhaa za mtandaoni, unaweza kuuza bidhaa moja mara 1000 bila bidhaa kuisha.
Tunatoa elimu jinsi ya kutengeneza Duka la mtandaoni kwa Bei poa saana.
Pia tunatoa mafunzo jinsi ya kuanzisha biashara mbali mbali zenye faida kubwa saana.
Hitimisho
biashara ya mtaji mdogo ni nyingi saana, ila utachagua kutokana na ujuzi wako na uelewa wako. Kwa mfano, kama unaweza kuandika unaweza kuanzisha biashara ya blog.
Biashara plus tunatoa huduma zote za mtandaoni. Kupata Facebook.com page, Facebook group, YouTube channel, blog, Duka la mtandaoni, Duka la Whatsapp na huduma zote. Wasiliana nasi kupata huduma zetu.
Biashara ya mtaji mdogo ipi inakufaa?
Tufahamishe katika box la maoni hapa chini.
0 Comments