BLOG YA BIASHARA
Tutakusaidia kufungua blog ya Biashara na kutoa mafunzo jinsi ya kuuza bidhaa zako kwa kutumiaa blog yako, keywords research, kupata logo yako ya Biashara na kuongeza mauzo mara 10. karibu🚀.
👉Nahitaji blogYOUTUBE CHANNEL
Tunatoa huduma ya kutengeneza YouTube channel na pia tunatoa mafunzo jinsi ya kuuza bidhaa zako katika mtandao wa YouTube. Pia utapata elimu jinsi ya kutengeneza videos, keywords research na jinsi ya kuongeza mauzo zaidi ya Biashara Yako. karibu 🚀 .
👉Nahitaji YouTube channelDUKA LA WHATSAPP
Duka la Whatsapp ninnjia rahisi ya kuuza bidhaa zako kiurahisi zaidi. Tunatoa huduma ya jinsi ya kutengeneza Duka la Whatsapp na jinsi ya kuuza bidhaa zako katika mtandao wa Whatsapp. Karibu 🚀
👉Nahitaji duka la WhatsappJINA NA LOGO YA BIASHARA
Tutakusaidia kupata jina zuri la biashara na logo ya biashara yako. jina na logo ni muhimu sana katika biashara yako kwani ndio kitambulisho kikuu cha biashara yako. karibu 🚀.
👉 Nahitaji logoTUNA ANDIKA ARTICLE ZA BLOG
Kama una blog na huna ujuzi wa kuandika blog post zenye kupata watu wengi mtandaoni, tutakusaidia. Tunatoa huduma ya uandishi wa makala za blog na mitandao ya kijamii kulingana na biashara yako. Karibu kupata makala nzuri 🚀.
👉Mahitaji articlesKutengeneza Facebook group
Facebook group ni njia nzuri sana ya kuuza bidhaa zako kwani watu wanakua wanajiunga kila siku. Utaweka matangazo ya Biashara zako. Watu wanaohitaji bidhaa zako watakufata na Kununua. Karibu 🚀.
👉Nahitaji GroupSocial media management
Tunatoa huduma ya kusimamia akaunti za biashara katika mitandao ya kijamii. Tuna simamia, kuboresha na kuweka matangazo ya Biashara yoko. Kama una page, Group au akaunti, tutakusaidia kusimamia ili kukuza biashara Yako. Karibu 🚀.
👉Nahitaji kupata wateja
0 Comments